Click on the slide!

MWENYEKITI AKIHUTUBIA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU

Click on the slide!

KATIBU MKUU MAALIM SEIF AKIHUTUBIA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU

Click on the slide!

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CUF 2014

Click on the slide!

Umoja wetu, Nguvu yetu,hakuna kitakachotuzuia.

Click on the slide!

Moja ya Lengo ni kujenga serikali imara kwa wanchi wake Tanzania Bara na Zanzibar

Click on the slide!

Vita dhidi ya Dhuluma haitakoma

Click on the slide!

Hakuna kundi litakaloachwa...wote Wetu.

Click on the slide!

We want total freedom

Click on the slide!

Viongozi wa Chama Wanachi CUF wakinyanyua juu mikono yao kuwapungia wanachama wanaowalaki jijini Dar es salaam.

Click on the slide!

Nguvu ya umma na moyo wa kusonga mbele ya Wafuasi wa CUF katika moja mikutano  Kibandamaiti…

Frontpage Slideshow (version 2.0.0) - Copyright © 2006-2008 by JoomlaWorks
Mwanzo

Karibu Kwenye Tovuti ya CUF:HAKI SAWA KWA WOTE!

Flaf

Chama cha Wananchi au Civic United Front (CUF) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. CUF ni chama cha uliberali wa kidemokrasia ambacho kauli mbiu yake ni Haki Sawa kwa Wote na Sera yake Kuu ni Utajirisho. CUF inasimamia elimu bora, afya madhubuti, mfumo adilifu wa kodi, Muungano wa haki, siasa kuwa utumishi ulioutukuka kwa umma na fursa sawa katika kujiendeleza kiuchumi, kijamii na kisiasa.

 
VIONGOZI WA CUF TAIFA WATEKWA MTWARA

article thumbnail

Mhe. Mketo na viongozi wengine waandamizi watano walielekea maeneo ya kijiji cha Msimbati ambako binti huyo amesitiriwa baada ya unyama huo. Mzazi wa binti aliyebakwa anajulikana kwa jina la SELEMANI  [ ... ]


MASHINE YA FIGO YAHAMISHWA KINYEMELA MUHIMBILI KWENDA AGHA KHAN

article thumbnail

Mbunge wa CUF Magdalena Sakaya  amefichua hujuma ya  kuhamishwa kinyemela mashine ya kusafisha figo kutoka hospitali ya taifa ya rufaa Muhimbili kwenda  hospitali binafsi ya Agha Khani  [ ... ]


Habari Zaidi Zilizojiri
Facebook Twitter Youtube Google Bookmarks Linkedin

MATESO UNYAMA MTWARA KWA MKURUGENZI WA CUF

MATESO NA UKATILI MKUBWA ALIOFANYIWA NAIBU MKURUGENZI WA OGANAIZESHENI UCHAGUZI NA BUNGE WA CUF TAIFA MHE. SHAWEJI MKETO NA VIONGOZI WENGINE WA CUF MKOANI MTWARA.  Muhtasari Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika kambi yao ya Naliendele yamewafanyia ... Soma zaidi

MAPENDEKEZO YA CUF KATIBA MPYA BAADHI YAZINGATIWA RASIMU

Jana tume ya ya katiba ilizindua rsimu ya katiba mpya ambayo ikibahatika kukukubaliwa na watanznaia ndiyo itakayo kuwa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Akitoa maoni yake kuhusu rasimu hiyo mpya naibu katibu mkuu bara ... Soma zaidi

Mil. 540 za kupeleka umeme MTWARA zayeyuka

 Bunge limeshindwa kuisimamia serikali na kuhoji kwa nini mradi wa kufua umeme MW 300 ambao katika mwaka wa bajeti wa 2011/12 ulitengewa na kutumia shilingi 540 milioni umesitishwa. Mpaka hivi sasa hakuna kamati ya Bunge ... Soma zaidi

SASA SERA RASMI YA CUF:MGAO WA RASILIMALI

Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Shariff Hamad ametangaza kuwa sasa Sera ya mapato ya  rasilimali ya taifa hasa madini kugwaiwa kwa wananchi itaingizwa kwenye sera za CUF na itatumiwa kwenye ilani ... Soma zaidi

CUF siku zote itaongoza juhudi za wananchi zenye kuelekezwa katika kuiletea nchi yetu ukombozi wa kiuchumi. CUF itatilia maanani umuhimu wa rasilmali za nchi yetu kuwanufaisha wananchi wenyewe. Katika kufikia lengo hilo CUF itakuwa na uangalifu mkubwa katika kuwashirikisha wageni wenye uwezo wa fedha na teknolojia.

Wimbo wa Taifa wa CUF unasema hivi: 
“Ni haki sawa kwa watu wote, kuendeleza taifa letu Utajirisho itikadi yetu, tukatae kuonewa. Siasa itumikie, uchumi wa Nchi yetu Ni mwiko huo uchumi, kutumikia siasa”


Mwenyekiti wa CUF

Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF

Maalim Seif Sharif Hamad